2 Chronicles 3:8

8 aAkajenga Patakatifu pa Patakatifu, urefu na upana wake ulikuwa dhiraa ishirini, sawasawa na upana wa Hekalu. Alifunika ndani kwa talanta 120
Talanta 120 za dhahabu ni sawa na tani 23.
za dhahabu safi.
Copyright information for SwhNEN